• HABARI MPYA

  Sunday, October 02, 2016

  VURUGU ZA JANA SIMBA NA YANGA NA ATHARI ZAKE HADI WATU KUJERUHIWA

  Askari Polisi wakimsindikiza mtu mmoja aliyejeruhiwa baada ya vurugu zilizozuka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga wakitoa sare ya 1-1
  Mashabiki wa Simba SC wakikimbia mabomu yaliyokuwa yakipigwa na Polisi baada ya vurugu hizo  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VURUGU ZA JANA SIMBA NA YANGA NA ATHARI ZAKE HADI WATU KUJERUHIWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top