• HABARI MPYA

  Sunday, October 02, 2016

  SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (katikati) akikimbilia mpira pembeni ya beki wa Simba, Novaty Lufunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 
  Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimuacha chini beki wa Simba, Janvier Besala Bokungu 
  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimtoka mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib
  Kipa wa Simba, Vincent Angban akiondosha mpira kwenye hatari mbele ya Tambwe wa Yanga
  Winga wa Simba, Shizza Kichuya akiwatoka wachezaji wa Yanga, Thabani Kamusoko na Tambwe
  Beki wa Yanga, Kevin Yondan akiwa hewani na mshambuliaji wa Simba, Lausit Mavugo kuwania mpira wa juu
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiwa chini katika harakati za kumdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe
  Viungo Mbuyu Twite wa Yanga (kulia) na Muzamil Yassin wa Simba kushoto 
  Viungo Thabani Kamusoko wa Yanga (kulia) na Mwinyi Kazimoto wa Simba (kushoto)
  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa Simba, Novaty Lufunga
  Kikosi cha Simba jana
  Kikosi cha Yanga jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top