• HABARI MPYA

  Monday, October 03, 2016

  SHUGHULI LA SAMATTA JANA UBELGIJI, ACHA GENK ISHINDE 2-1

  Mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akipambana na beki wa Mechelen katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji usiku wa jana Uwanja wa Laminus Arena, Genk. Genk ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Nikolaos Karelis kwa penalti dakika ya 21 na Leon Bailey dakika ya 51, wakati la wageni lilifungwa na Nicolas Verdier dakika ya 10
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHUGHULI LA SAMATTA JANA UBELGIJI, ACHA GENK ISHINDE 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top