• HABARI MPYA

  Monday, October 03, 2016

  BALOTELLI ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU BAADA YA KUFUNGA BAO LA USHINDI

  Mshmabuliaji wa Nice, Mario Balotelli akienda nje baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kosa la kuvua jezi wakati anashangilia baada ya kuifungia timu yake bao la usindi zikiwa zimesalia dakika nne mchezo dhidi ya -Lorient kumalizika katika Ligue ! ya Ufaransa. Ricardo Pereira alianza kuifungia Nice dakika ya 11, kabla ya Benjamin Moukandjo kuwasawazishia wageni dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU BAADA YA KUFUNGA BAO LA USHINDI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top