Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa ameegemea gari yake mpya aina ya Mercedez Benz Cla220 Cdi AMG Sport ya mwaka 2016 yenye thamani ya zadi ya Sh. Milioni 130 makao makuu ya klabu yake KRC Genk, Laminus Arena, Genk, Ubelgiji. Thamani ya gari hiyo inaweza kupanda hadi zaidi ya Milioni 200 iwapo ataamua kuileta Tanzania.
Man Utd face up to 'massive' loss of injured Fernandes
-
Manchester United's injury problems worsened as captain and talisman Bruno
Fernandes was replaced in a 2-1 defeat by Aston Villa.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment