• HABARI MPYA

  Sunday, October 02, 2016

  ARSENAL YANG'ARA LIGI KUU ENGLAND, YACHINJA 1-0 UGENINI

  Nyota wa Arsenal, Alex Oxlade-Chamberlain akikimbia kushangilia baada ya kuifuniga bao la ushindi timu yake dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Turf Moor katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni hii ikiwalaza 1-0 wenyeji Burnley PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YANG'ARA LIGI KUU ENGLAND, YACHINJA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top