• HABARI MPYA

  Sunday, October 02, 2016

  GUARDIOLA ALA KICHAPO ENGLAND, MAN CITY YAPIGWA 2-0 NA SPURS

  Kocha wa Mchester City, Pep Guardiola akiwa mnyonge baada ya timu yake kuchapwa mabao 2-0 na wenyeji Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane. Mabao ya Spurs yamefungwa na Aleksandar Kolarov na Dele Alli, wakati Erik Lamela alikosa penalti iliyookolewa na kipa wa Man City, Claudio Bravo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GUARDIOLA ALA KICHAPO ENGLAND, MAN CITY YAPIGWA 2-0 NA SPURS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top