• HABARI MPYA

  Wednesday, June 15, 2016

  URUSI YACHEZEA 2-1 KWA SLOVAKIA, USWISI YAAMBULIA SARE KWA ROMANIA EURO 2016

  Kiungo wa Slovakia, Marek Hamsik akiweka mikono masikioni kushangilia bao lake zuri katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Urusi kwenye mchezo wa Kundi B Euro 2016 leo Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq, Ufaransa. Bao lingine la Slovakia lilifungwa na Vladimir Weiss, wakati la Urusi lilifungwa na Denis Glushakov  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Beki wa Uswisi, Stephan Lichtsteiner akimvuta jezi Alexandru Chipciu wa Romania kabla ya refa Sergei Karasev wa Urusi kutoa penalti iliyofungwa na Bogan Stancu katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Kundi Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Bao la Romania lilifungwa na Ahmed Mehmedi  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: URUSI YACHEZEA 2-1 KWA SLOVAKIA, USWISI YAAMBULIA SARE KWA ROMANIA EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top