• HABARI MPYA

  Thursday, June 16, 2016

  PAYET, GRIEZMANN WAIFUNGIA UFARANSA IKIICHAPA ALBANIA 2-0 EURO 2016

  Mshambuliaji wa Ufaransa, Dimitri Payet akitimba kibendera cha kona kwa furaha baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 90 na zaidi usiku wa Jumatano katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Albania Uwanja wa Stade Velodrome mjini Marseille, Ufaransa kwenye mchezo wa Kundi A Euro 2016. Bao la kwanza la Ufaransa lilifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 90 baada ya kuingia dakika ya 68 kuchukua nafasi ya Kingsley Coman PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PAYET, GRIEZMANN WAIFUNGIA UFARANSA IKIICHAPA ALBANIA 2-0 EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top