• HABARI MPYA

  Wednesday, June 01, 2016

  THOMAS ULIMWENGU NA WENGINE WALIVYOKAMUA LEO MAZOEZINI STARS

  Mshambuliaji wa timu TP Mazembe ya DRC, Thomas Ulimwengu (kulia) akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Andrew Vincent (kushoto) katika mazoezi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri Jumamosi kenye Uwanja huo huo
  Beki wa Yanga ya Dar es Salaam, Juma Abdul (kushoto) akimiliki mpira mbele ya Ulimwengu
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimtoka kiungo wa Yanga, Deus Kaseke
  Tshabalala akitafuta maarifa ya kumpita Farid Mussa wa Azam FC

  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor' akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya kukimbia
  Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akiwaongoza wenzake kukimbia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: THOMAS ULIMWENGU NA WENGINE WALIVYOKAMUA LEO MAZOEZINI STARS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top