• HABARI MPYA

  Friday, June 03, 2016

  SMALLING AIFUNGIA BAO PEKEE ENGLAND IKIILAZA 1-0 URENO

  Beki Chris Smalling akiruka juu kuifungia kwa kichwa England bao pekee baada ya mpira wa adhabu ikishinda 1-0 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Ureno usiku huu Uwanja wa Wembley, London  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SMALLING AIFUNGIA BAO PEKEE ENGLAND IKIILAZA 1-0 URENO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top