• HABARI MPYA

  Wednesday, June 08, 2016

  SIMBA YA ENZI ZA RAHA TUPU, KIZOTA MASHA, EDO CHUMILA WE ACHA TU!

  Kikosi cha Simba SC mwaka 1995 kilichokuwa kikiundwa na nyota mbalimbali wa taifa enzi hizo kama Hussein Masha na marehemu Edward Chumila na Said Mwamba ‘Kizota’ ambacho kilitawala soka ya Afrika Mashariki na Kati kati ya 1995 na 1997, kabla ya nyota mbalimbali kuondoka na kupoteza makali ya timu kwa muda hadi ilipozinduka tena mwaka 2001.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YA ENZI ZA RAHA TUPU, KIZOTA MASHA, EDO CHUMILA WE ACHA TU! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top