• HABARI MPYA

  Saturday, June 04, 2016

  MASHABIKI WAJISHINDIA FURSA YA KUPIGA PICHA NA TAIFA STARS

  Mashabiki mbalimbali waliojishindia fursa ya kupiga picha na wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars walitimiza kiu yao juzi jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya mazoezi. Zoezi hilo liliendeshwa na wadhamini wa Taifa Stars, Kilimanjaro Premium Lager na mashabiki 10 wakajishindia nafasi hiyo baada ya kufuata utaratibu uliotangazwa katika kampeni maalum

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI WAJISHINDIA FURSA YA KUPIGA PICHA NA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top