• HABARI MPYA

    Thursday, June 02, 2016

    MANJI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UENYEKITI YANGA

    Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akilipia fomu za kugombea Uenyekiti wa Yanga leo makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam
    Manji akiandika jina lake katika orodha ya wanaochukua fomu za kugombea Yanga

    Manji akiteremka kwenye gari baada ya kufika mabao makuu ya klabu, Jangwani
    Manji akianza kuelekea ndani ya jengo la Yanga kwa ajili ya kuchukua fomu 
    Manji akiwapungia mkono wanachama wa Yanga waliofurika makao makuu ya klabu kumshuhudia akichukua fomu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANJI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UENYEKITI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top