Magari ya winga wa Manchester United, Mholanzi Memphis Depay yakiwa yamepakiwa kwenye gari kubwa tayari kusafirishwa kurudishwa Uholanzi. Depay alihamia United na Mercedes G Wagon yenye thamani ya Pauni 100,000 na Scorpion Trike ya Pauni 13,500. Je hizi ni dalili mchezaji huyo anaondoka Man United? PICHA ZAIDI GONGA HAPA
MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
-
*Mkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu
Ardhi (ARU), Profesa Livin Mosha akipokea sehemu ya vitabu vya usanifu
majen...
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment