Kiungo wa Liverpool ya England, Philippe Coutinho akikimbia kushangikia baada ya kuifungia mabao matatu Brazil katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Haiti kwenye mchezo wa Copa America Uwanja wa Camping World mjini Orlando, Marekani. Mabao mengine ya Brazil yamefungwa na Renato Augusto mawili, Gabriel Barbosa na Lucas Lima, wakati la Haiti limefungwa na James Marcelin PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ollie Bearman limps away from serious 140mph crash at Japanese Grand Prix -
as Haas provide update on British F1 star
-
JONATHAN McEVOY IN SUZUKA: The incident occurred after the British driver
hurtled towards Spoon Curve like a 10-pin bowling ball.
26 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment