• HABARI MPYA

    HABARI MOTOMOTO

    HABARI YA KIMATAIFA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    • HABARI ZA NYUMBANI
    • SIMBA
    • YANGA
    • AZAM
    Wednesday, December 10, 2025
    Tuesday, December 09, 2025
    BONDIA FAKI ‘FIGHTER’ ATOLEWA HAATUA YA 16 BORA MASHINDANO YA DUNIA NDONDI

    BONDIA FAKI ‘FIGHTER’ ATOLEWA HAATUA YA 16 BORA MASHINDANO YA DUNIA NDONDI

    SAFARI ya bondia wa Timu ya Taifa ya Tanzania, maarudu kama FARU WEUSI, Faru – Faki Issa Faki “Fighter”, imeishia katika hatua ya 16 bora ya...
    MABINTI WA TANZANIA WATWAA UBINGWA WA SHULE ZA CECAFA

    MABINTI WA TANZANIA WATWAA UBINGWA WA SHULE ZA CECAFA

    TIMU ya Wasichana ya Tanzania imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Ubingwa wa Shule za Afrika kanda ya CECAFA baada ya ushindi wa pen...
    Monday, December 08, 2025
    WASICHANA WATINGA FAINALI MASHINDANO YA SHULE CECAFA

    WASICHANA WATINGA FAINALI MASHINDANO YA SHULE CECAFA

    TIMU ya Wasichana ya Tanzania imefanikiwa kwenda Fainali ya Mashindano ya Ubingwa wa Shule za Afrika kanda ya CECAFA baada ya ushindi wa mab...
    Sunday, December 07, 2025
    WAVULANA WA TANZANIA WATINGA NUSU FAINALI SHULE ZA AFRIKA

    WAVULANA WA TANZANIA WATINGA NUSU FAINALI SHULE ZA AFRIKA

    TIMU ya Wavulana ya Tanzania imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Mashindano ya Ubingwa wa Shule za Afrika kanda ya CECAFA baada ya ushindi w...
    Saturday, December 06, 2025
    TRA UNITED YAITANDIKA SINGIDA BLACK STARS 3-1 MWENGE

    TRA UNITED YAITANDIKA SINGIDA BLACK STARS 3-1 MWENGE

    MSIMU uliopita ikiwa inajulikana kama Tabora United – sasa TRA United iliifunga Yanga mabao 3-1 chini ya kocha Miguel Angel Gamondi Uwanja w...
    PAMBA NA PRISONS HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU SOKOINE

    PAMBA NA PRISONS HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana wa leo Uw...
    FABRICE NGOY MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA LIGI KUU MWEZI NOVEMBA

    FABRICE NGOY MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA LIGI KUU MWEZI NOVEMBA

    MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Fabrice Ngoy ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Novemba 2025, huku kocha...
    WASICHANA WANG’ARA, WAVULANA MAMBO MAGUMU MICHUANO YA SHULE CECAFA

    WASICHANA WANG’ARA, WAVULANA MAMBO MAGUMU MICHUANO YA SHULE CECAFA

    TIMU ya wasichana ya Tanzania imeshinda mechi zake zote mbili za Mashindano ya Ubingwa wa Shule za Afrika kanda ya CECAFA, wakati wavulana w...
    Friday, December 05, 2025
    TIMU ZA UOGELEAJI NA MPIRA WA MEZA ZAKABIDHIWA BENDERA KUELEKEA MASHINDANO YA AFRIKA

    TIMU ZA UOGELEAJI NA MPIRA WA MEZA ZAKABIDHIWA BENDERA KUELEKEA MASHINDANO YA AFRIKA

    WACHEZAJI wa timu ya taifa ya mchezo wa kuogelea pamoja na ile ya mpira wa meza wamekabidhiwa bendera leo Desemba 5, 2025, ikiwa ni sehemu y...
    Thursday, December 04, 2025
    SIMBA SC YAICHAPA MBEYA CITY 3-0 MBWENI

    SIMBA SC YAICHAPA MBEYA CITY 3-0 MBWENI

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Mej...
    YANGA SC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0 MWENGE

    YANGA SC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya...
    BETPAWA LOCKER ROOM BONUS YAFIKISHA SH 91M NBL 2025 IKIELEKEA NUSU FAINALI

    BETPAWA LOCKER ROOM BONUS YAFIKISHA SH 91M NBL 2025 IKIELEKEA NUSU FAINALI

    JUMLA ya Shilingi Milioni 91 hadi sasa zimetumika kuwalipa Wachezaji mbalimbali wa timu za mpira wa kikapu zinazoshiriki klabu bingwa ya Tan...
    AZAM FC NA SINGIDA BKLACK STARS HAKUNA MBABE, SARE 0-0 CHAMAZI

    AZAM FC NA SINGIDA BKLACK STARS HAKUNA MBABE, SARE 0-0 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wametoa sare ya bila mabao na Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam C...
    Wednesday, December 03, 2025
    MTIBWA SUGAR YAIPUNGUZA KASI JKT TANZANIA, SARE 0-0 MBWENI

    MTIBWA SUGAR YAIPUNGUZA KASI JKT TANZANIA, SARE 0-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wametoa sare ya bila kufungana na Mtibwa Sugar ya Morogoro katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja w...
    GAMONDI AITA WACHEZAJI 53 KIKOSI CHA AWALI CHA TAIFSA STARS YA AFCON

    GAMONDI AITA WACHEZAJI 53 KIKOSI CHA AWALI CHA TAIFSA STARS YA AFCON

    KOCHA Muargentina, Miguel Angel Gamondi ameita wachezaji 53 kuunda kikosi cha awali cha timu ya taifa ya taifa ya Tanzania kwa ajili ya Fain...
    Tuesday, December 02, 2025

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top