• HABARI MPYA

    Friday, January 03, 2020

    MAZOEZI YA MWISHO SIMBA SC KABLA YA KUSHUKA DIMBANI KESHO KUWAVAA WAPINZANI WAO WA JADI

    Kiungo mpya wa Simba SC, Luis Jose Miquissone kutoka Msumbiji (wa pili kulia) akipiga mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo Jijini Dar es Salaam leo kujiandaa na mchezo dhidi ya watani wao, Yanga SC Uwanja wa Taifa   
    Luis Jose Miquissone (kushoto) akionyesha uwezo wake mazoezini leo    
    Luis Jose Miquissone (katikati) akionyesha uwezo wake mazoezini leo 
    Luis Jose Miquissone akifurahia na wachezaji wenzake mazoezini leo
    Luis Jose Miquissone akifurahia na wachezaji wenzake mazoezini leo 
    Luis Jose Miquissone akifurahia na wachezaji wenzake mazoezini leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO SIMBA SC KABLA YA KUSHUKA DIMBANI KESHO KUWAVAA WAPINZANI WAO WA JADI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top