• HABARI MPYA

  Thursday, October 03, 2019

  CHELSEA YAPATA USHINDI WA UGENINI, YAIPIGA LILLE 2-1 UFARANSA

  Mbrazil Willian akifumua shuti kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 77 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Lille katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq. Bao la kwanza la Chelsea lilifungwa na Tammy Abraham dakika ya 22, wakati la Lille lilifungwa na Victor Osimhen dakika ya 33 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAPATA USHINDI WA UGENINI, YAIPIGA LILLE 2-1 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top