• HABARI MPYA

  Thursday, April 04, 2019

  MAN CITY YAICHAPA CARDIFF 2-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND

  Leroy Sane akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 44 kufuatia Kevin De Bruyne kufunga la kwanza dakika ya sita ikiilaza 2-0 Cardiff City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Kwa ushindi huo, Manchester City inafikisha pointi 80 baada ya kucheza mechi 32 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England ikiizidi kwa pointi moja Liverpool inayofuatia katika nafasi ya pili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA CARDIFF 2-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top