• HABARI MPYA

  Saturday, March 02, 2019

  MAHREZ ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA MAN CITY BAO MUHIMU IKIREJEA KILELENI

  Riyad Mahrez akishangilia baada kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 55 kufuatia kutokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Kelvin De Bruyne katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality. Manchester City inafikisha pointi 71 baada ya ushindi wa leo katika mechi ya 29 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu England, sasa ikiizidi pointi mbili Liverpool ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAHREZ ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA MAN CITY BAO MUHIMU IKIREJEA KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top