• HABARI MPYA

  Monday, March 04, 2019

  LIVERPOOL ILIPOBANWA GOODISON PARK, SARE 0-0 NA EVERTON

  Beki Michael Keane wa Everton akinyoosha mkuu kumzuia mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. Matokeo hayo yanaifanya Liverpool ijiongezee pointi moja na kufikisha 70 katika mechi ya 29, sasa ikizidiwa pointi moja na Manchester City wanaoongoza, wakati Everton inabaki nafasi ya 10 baada ya kufikisha pointi 37 katika mchezo wa 29 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL ILIPOBANWA GOODISON PARK, SARE 0-0 NA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top