• HABARI MPYA

  Thursday, December 13, 2018

  REAL MADRID YAPIGWA 3-0 NA CSKA MOSCOW PALE PALE BERNABEU

  Gareth Bale (kulia) akiwa amejishika kiuno wakati wa kuanzisha tena mchezo baada ya kufungwa bao la tatu wakilala 3-0 mbele ya CSKA Moscow usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya.
  Mabao ya CSKA Moscow yalifungwa na Fedor Chalov dakika ya 37, Georgi Schennikov dakika ya 43 na Arnor Sigurdsson dakika ya 73 na pamoja na ushindi huo imemaliza mkiani Kundi G kwa pointi zake saba sawa na Viktoria Plzen, wakiwaacha Real Madrid waliomaliza na poinit 12 na AS Roma pointi tisa wakitinga 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAPIGWA 3-0 NA CSKA MOSCOW PALE PALE BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top