Mohamed Salah akishangilia na Virgil van Dijk baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Molineux, West Midlands. Bao la pili la Liverpool lilifungwa na Virgil van Dijk dakika ya 68 na kwa ushindi huo timu ya kocha Jurgen Klopp inafikisha pointi 48 baada ya kucheza mechi 18, ikiendelea kuongoza ligi kwa pointi nne zaidi ya Manchester City wenye pointi 44 za mechi 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ben Foster calls ex-Chelsea striker Diego Costa a 'filthy RAT' and Nemanja Vidic 'a sicko'
-
Foster, who spent five years at Man United, has opened up on his days in
the Premier League, naming his least favourite opponent ever, the biggest
hardman ...
3 minutes ago
0 comments:
Post a Comment