• HABARI MPYA

  Thursday, December 13, 2018

  LEROY SANE APIGA ZOTE MAN CITY YAICHAPA 2-1 HOFFENHEIM

  Leroy Sane akishangilia na Gabriel Jesus baada ya kuifungiaa mabao mawili Manchester City dakika za 45 na ushei na 61 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Hoffenheim usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Ethad. Bao pekee la Hoffenheim lilifungwa na Andrej Kramaric kwa penalti dakika ya 16 na Man City imemaliza na pointi 13 kileleni mwa kundi ikifuatiwan na Lyon ya Ufaransa yenye pointi nane na zote zinafuzu 16 Bora 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEROY SANE APIGA ZOTE MAN CITY YAICHAPA 2-1 HOFFENHEIM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top