Kipa Arijanet Muric (kushoto) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Manchester City baada ya kuokoa penalti mbili katika ushindi wa penalti 3-1 kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Leicester City usiku wa jana Uwanja wa King Power kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Kevin De Bruyne alianza kuifungia Manchester City dakika ya 14, kabla ya Marc Albrighton kuisawazishia Leicester dakika ya 73 kabla ya Muric kuokoa penalti za James Maddison na Caglar Soyuncu kuivusha Man City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rangers CONFIRMED as Scottish champions for the 55th time in their history
-
Rangers have dominated this season's title race from start to finish,
winning 28 and drawing four of their 32 matches, to ruin Celtic's bid for a
10th succ...
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment