Mshambuliaji Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 45 na ushei, likiwa bao lake la 100 tangu ajiunge na klabu hiyo, kabla ya kufunga na la pili dakika ya 58 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Watford ambao bao lilifungwa na Roberto Pereyra kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Vicarage Road PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment