• HABARI MPYA

  Thursday, December 27, 2018

  LEICESTER CITY YAIPIGA MANCHESTER CITY 2-1 KING POWER

  Wilfried Ndidi wa Leicester City akiuwahi mpira dhidi ya Kevin De Bruyne katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power mjini Leicester. Leicester City ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Marc Albrighton dakika ya 19 na Ricardo Pereira dakika ya 81, wakati la Man City lilifungwa na Bernardo Silva dakika ya 14 na baada ya kipigo hicho cha pili mfululizo na cha tatu jumla cha msimu, sasa kikosi cha kocha Pep Guardiola kinazidiwa pointi sita na vinara, Liverpool (49-44) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAIPIGA MANCHESTER CITY 2-1 KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top