• HABARI MPYA

    Sunday, December 23, 2018

    WAKALI WALIOKARIBIA KUIPA PILSNER UBINGWA WA LIGI KUU 1989

    Baadhi ya wachezaji wa Pilsner FC ya Dar es Salaam, iliyokuwa inamilikiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) iliyomaliza nafasi ya pili kwenye Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1989, nyuma ya Yanga SC waliobuka mabingwa. Kutoka kulia Charles Msami (marehemu), Abdallah Suleiman ‘Kaburu’, Frank Muhando, Athanas Michael, Suleiman Mkati, Andrew Godwin, Rajab Rashid ‘Double R’ (marehemu) na Abdallah Sumbwa (marehemu).  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAKALI WALIOKARIBIA KUIPA PILSNER UBINGWA WA LIGI KUU 1989 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

    PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

    Scroll to Top