Mshambuliaji wa Chelsea, Edin Hazard akimtoka Nampalys Mendy wa Leicester City leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Leicester City imeshinda 1-0 pekee la Jamie Vardy dakika ya 51 na kwa ushindi huo inafikisha pointi 25 baada ya kucheza mechi 18 ikipanda kutoka nafasi ya 13 hadi ya tisa, wakati Chelsea inayobaki na pointi zake 37 za mechi inaendelea kushika nafasi ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rangers CONFIRMED as Scottish champions for the 55th time in their history
-
Rangers have dominated this season's title race from start to finish,
winning 28 and drawing four of their 32 matches, to ruin Celtic's bid for a
10th succ...
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment