Son Heung-Min akitabasamu kwa furaha baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 16 na 54 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, West Ham usiku wa jana Uwanja wa London kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England. Bao lingin la Spurs lilifungwa na Fernando Llorente dakika ya 75, wakati la WHU limefungwa na Lucas Perez 71 na sasa Tottenham itakuwa na Arsenal katika Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Euros abuse made me not want to leave hotel - Carter
-
England defender Jess Carter says abuse of female footballers is getting
worse and that she has had to step back from social media after receiving
racist m...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment