• HABARI MPYA

    Wednesday, November 21, 2018

    GIROUD AIFUNGIA BAO PEKEE UFARANSA YAICHAPA URUGUAY 1-0 PARIS

    Mshambuliaji Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Ufaransa dakika ya 52 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Uruguay jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GIROUD AIFUNGIA BAO PEKEE UFARANSA YAICHAPA URUGUAY 1-0 PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top