• HABARI MPYA

  Thursday, November 01, 2018

  GUENDOUZI ALIMWA KADI NYEKUNDU ARSENAL YASHINDA 2-1 CARABAO

  Refa David Coote akimuonyesha kadi nyekundu mchezaji wa Arsenal, Matteo Guendouzi baada ya kumuonyesha kadi ya pili ya njano katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Emirates mjini London. Arsenal ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Stephan Lichtsteiner dakika ya 33 na Emile Smith Rowe dakika ya 50, wakati la Paudie O'Connor dakika ya 66 ambaye alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumchezea rafu Pierre-Emerick Aubameyanna sasa The Gunners watakutana na Tottenham Hotspur katika Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GUENDOUZI ALIMWA KADI NYEKUNDU ARSENAL YASHINDA 2-1 CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top