• HABARI MPYA

  Thursday, November 01, 2018

  KOCHA WA MUDA AREJESHA FURAHA REAL MADRID, YASHINDA 4-0 KOMBE LA MFAME

  Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia ushindi wa wa 4-0 dhidi ya Melilla kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme jana Uwanja wa Alvarez Claro mjini Melilla. Mabao ya Real iliyocheza mechi ya kwanza jana chini ya kocha wa muda, Santiago Solari wa timu B baada ya kufukuzwa kwa Julen Lopetegui yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 28, Marco Asensio dakika ya 45 na ushei, Álvaro Odriozola dakika ya 7p na Cristo Gonzalez dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA WA MUDA AREJESHA FURAHA REAL MADRID, YASHINDA 4-0 KOMBE LA MFAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top