• HABARI MPYA

  Sunday, November 25, 2018

  DEMBELE ALIVYOINUSURU BARCELONA JANA KUCHAPWA NA ATLETICO

  Ousmane Dembele akishangilia na mchezaji mwenzake, Luis Suarez baada ya kutokea benchi zikiwa zimesalia dakika 10 na kuifungia bao la kusawazisha timu hiyo dakika ya 90 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Atletico Madrid jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, kufuatia Diego Costa kuanza kufunga dakika ya 78 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEMBELE ALIVYOINUSURU BARCELONA JANA KUCHAPWA NA ATLETICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top