• HABARI MPYA

  Friday, November 23, 2018

  MANE ASAINI MKATABA MPYA LIVERPOOL HADI 2023

  Sadio Mane akiwa mwenye furaha makao makuu ya klabu ya Liverpool, Merseyside baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitano utakaomuweka Anfield hadi mwaka 2023 akilipwa mshahara wa Pauni 150,000 kwa wiki 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE ASAINI MKATABA MPYA LIVERPOOL HADI 2023 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top