Mauro Icardi akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Argentina dakika ya pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mexico jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mexico Uwanja wa Malvinas Argentinas mjini Mendoza, bao la pili likifungwa na Paulo Dybala dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kim Little wins November Goal of the Month
-
Scotland international wins award for her stunning strike in the WSL's
first north London derby
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment