• HABARI MPYA

  Saturday, November 03, 2018

  RASHFORD AIFUNGIA MAN UNITED BAO LA USHINDI DAKIKA YA MWISHO YASHINDA 2-1

  Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, AFC Bournemouth 2-1 jioni ya leo Uwanja wa Vitality, Bournemouth, Dorset katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Callum Wilson alianza kuifungia Bournemouth dakika ya 11, kabla ya Anthony Martial kuisawazishia United dakika ya 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASHFORD AIFUNGIA MAN UNITED BAO LA USHINDI DAKIKA YA MWISHO YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top