• HABARI MPYA

  Thursday, November 01, 2018

  CHELSEA YAITUPA NJE TIMU YA LAMRAD KOMBE LA LIGI ENGLAND

  Kiungo Cesc Fabregas akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la tatu dakika ya 41 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Derby County ya kocha Frank Lampard kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Fikayo Tomori dakika ya tano na Richard Keogh dakika ya 21 wote wakijifunga huku mabao ya Derby yakifungwa na Jack Marriott dakika ya tisa na Martyn Waghorn dakika ya 27 na sasa The Blues watawakaribisha Bournemouth katika Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAITUPA NJE TIMU YA LAMRAD KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top