• HABARI MPYA

    Friday, October 21, 2016

    SIMBA SC NA MBAO KATIKA PICHA JANA SHAMBA LA BIBI

    Beki Mghana wa Mbao FC, Asante Kwesi (kulia) akimdhibiti winga machachari wa Simba, Shizza Kichuya
    Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Mbao FC, Steve Kigocha 
    Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akiondoka na mpira pembeni ya beki wa Mbao FC, Pius Buswita
    Beki Mkongo wa Simba, Janvier Besala Bokungu (kushoto) akitia krosi mbele ya mchezaji wa Mbao, Emmanuel Mvuyekure
     Mshambuliaji wa Mbao FC, Hussein Sued akiwafunga tela wachezaji wa Simba
    Laudit Mavugo akipiga mpira kichwa mbele ya beki wa Mbao, Steve Mganya huku wachezaji wengine wakiwa tayari kusaidia
    Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akimpiga chenga ya kumzunguka, Emmanuel Mvuyekure wa Mbao 
    Pius Buswita wa Mbao FC akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Simba, Shizza Kichuya (kulia) na Ibrahim Hajib (kushoto) 
     Kikosi cha Simba jana
    Kikosi cha Mbao jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MBAO KATIKA PICHA JANA SHAMBA LA BIBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top