• HABARI MPYA

  Friday, October 21, 2016

  POGBA AFUNGA MAWILI MAN UNITED YASHINDA 4-1 EUROPA LEAGUE

  Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akiteleza uwanjani kushangilia baada ya kufunga mabao mawili Manchester United, moja kwa penalti katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Fenerbahce ya Uturuki kwenye mchezo wa Kundi A Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yalifungwa na Anthony Martial kwa penalti na Jesse Lingard, wakati la wageni lilifungwa na nyota wa zamani wa Mashetani hao Wekundu, Robin van Persie PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AFUNGA MAWILI MAN UNITED YASHINDA 4-1 EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top