• HABARI MPYA

  Wednesday, June 01, 2016

  TAIFA STARS NYINGINE KALI KUWAHI KUTOKEA, CHEKI MAFUNDI HAWA!

  Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kabla ya mchezo wa mechi ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) Castle dhidi ya Msumbiji Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza michuano ambayo ilishiriki kama mwalikwa mwaka 1996.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NYINGINE KALI KUWAHI KUTOKEA, CHEKI MAFUNDI HAWA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top