• HABARI MPYA

    Wednesday, June 15, 2016

    KIM POULSEN NA SHIME WANAVYOWANOA SERENGETI BOYS KUWAKABILI SHELISHELI

    Mshauri wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa maendeleo ya timu za vijana, Mdenmark Kim Poulsen akiwasimamia wachezaji wa timu ya umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys katika mazoezi yao kujiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za Afrika dhidi ya Shelisheli Juni 26, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Bakari Shime akiwasimamia vijana wake pia Uwanja wa Karume, Ilala mjini Dar es Salaam leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIM POULSEN NA SHIME WANAVYOWANOA SERENGETI BOYS KUWAKABILI SHELISHELI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top