![]() |
| Rais wa Simba SC kushoto akiwa na mmoja wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yussf Bakhresa kulia walipokutana mchana wa leo, ofisi za Azam TV, Tabata Relini, Dar es Salaam. |
![]() |
| Kutoka kulia Bakhresa, Aveva na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Collins Frisch |
![]() |
| Aveva na Yussuf Bakhresa walifanya mazungumzo ya takriban 30 Azam TV |
![]() |
| Aveva akimskiliza kwa makini Yussuf Bakhresa |






.png)
0 comments:
Post a Comment