Luis Figo wa Real Madrid akimgeuza Mecky Mexime wa Tanzania Eleven jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Real walishinda 3-1. |
Luis Figo akiwa ameruka juu kupiga kichwa mpira dhidi ya Mecky Mexime |
Sabri Ramadhan 'China' akimzungusha Enrique Velasco wa Real Madrid |
Mfungaji wa mabao yote matatu ya Real Madrid jana, Reuben de La Red akitafuta maarifa ya kumtoka Habib Kondo |
Beki wa Real Madrid, Fernando Sanz akimzibia njia Duwa Said ili mpira utoke |
Kali Ongala akimtoka Fernando Sanz |
Jorge Lopez akiwafunga tela Yussuf Macho na Madaraka Selemani |
Nahodha wa Tanzania Eleven, Mwameja Mohamed akimtambulisha Waziri Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kwa George Masatu. Katikati ni Iddi Moshi |
Reuben de La Red akijiandaa kumlamba chenga Duwa Said |
Sabri China akimzunguka Enrique Velasco |
Enrique Velasco akiupitia mpira miguuni mwa Mecky Mexime |
Mao Mkami 'Ball Dancer' akitoka beki wa Real Madrid |
Mao Mkami akimfunga tela beki wa Real Madrid |
Mchezaji wa Real Madrid akiwaunga mabehewa wacheaji wa Tanzania Eleven |
0 comments:
Post a Comment