• HABARI MPYA

  Sunday, August 31, 2014

  BEKI JIPYA LA SIMBA SC HILI HAPA...

  Beki mpya wa Simba SC, Shaffi Hassan akiwa mazoezini na klabu yake usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar wakai wa mapumziko ya mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar. Simba ilishinda 5-0. Shaffi amesajiliwa juzi Simba SC baada ya klabu hiyo kumtema beki Mkenya, Donald Mosoti kuafuatia kumsajili mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi.  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI JIPYA LA SIMBA SC HILI HAPA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top