• HABARI MPYA

  Sunday, August 31, 2014

  KMKM ILIVYOZITOFAUTISHA AZAM, SIMBA NA YANGA...

  Kikosi cha KMKM kilichofungwa 5-0 na Simba SC jana katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Amaan, Zanzibar. KMKM pia ilikutana na mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC ikafungwa 4-0 kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, au Kombe la Kagame mjini Kigali, Rwanda. Ilikutana pia na Yanga SC Jumatano wiki hii katika mchezo wa kirafiki Amaan ikafungwa 2-0. KMKM ni mabingwa wa Zanzibar miaka miwili mfululizo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMKM ILIVYOZITOFAUTISHA AZAM, SIMBA NA YANGA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top