• HABARI MPYA

    Thursday, August 28, 2014

    SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA AMAAN

    Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akiwapangua wachezaji wa Mafunzo katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 2-0.
    Kiungo wa Simba SC, Pierre Kwizera kulia akijiandaa kufumua shuti pembeni ya beki wa Mafunzo
    Kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba akituliza mpira kifuani mbele ya kiungo wa Mafunzo
    Beki wa Simba SC, Issa Rashid 'Baba Ubaya' akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Mafunzo
    Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Mafunzo
    Winga wa Simba SC, Haroun Chanongo akimtoka beki wa Mafunzo 
    Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' akimlamba chenga beki wa Mafunzo
    Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akimtoka beki wa Mafunzo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top