• HABARI MPYA

  Saturday, August 30, 2014

  WINGA LA ARGENTINA, BLANCO LATUA WEST BROM

  KLABU ya West Brom imetangaza kumsajili kiungo wa pembeni wa Argentina, Sebastian Blanco kwa mkataba wa miaka miwili Metalist Kharkiv ya Ukraine.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, aliyeichezea mechi mbili timu yake ya taifa, ana uwezo wa kucheza pembeni na amepewa jezi namba 28.

  Uthibitisho: Sebastian Blanco akiwa ameshika jezi namba 28 baada ya kukamilisha usajili wake West Brom
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WINGA LA ARGENTINA, BLANCO LATUA WEST BROM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top