![]() |
| Winga teleza; Simon Msuva kushoto akimtoka Freddy Chudu wa Prisons |
![]() |
| Mtu hatari; Mrisho Ngassa akimpiga chenga kipa wa Prisons, Beno Kakolanya |
![]() |
| Nurdin Chona wa Prisons kulia akimiliki mpira mbele ya Hussein Javu wa Yanga |
![]() |
| Hassan Dilunga wa Yanga SC kulia akimtoka Lugano Mwangama wa Prisons |
![]() |
| Jerry Tegete wa Yanga SC akipiga kichwa mpira ulioenda juu ya lango |
![]() |
| Emmanuel Okwi wa Yanga SC akimiliki mpira mbele ya Lugano Mwangama wa Prisons |
![]() |
| Simon Msuva akimiliki mpira kushoto mbele ya beki wa Prisons, huku kiungo Frank Domayo kulia akiwa tayari kumsaidai |
![]() |
| Kikosi cha Prisons jana |
![]() |
| Kikosi cha Yanga SC jana |












.png)
0 comments:
Post a Comment